Home » » magufuli azomewa mbeya..Wananchi Wasema Wanamtaka Lowassa. Hapa kuna Video Mbili apa

magufuli azomewa mbeya..Wananchi Wasema Wanamtaka Lowassa. Hapa kuna Video Mbili apa


kawaida,Mgombea  Urais  kwa  tiketi  ya  CCM, Dr. John Magufuli  leo  alijikuta  katika  wakati  mgumu  baada  ya  kukutana  na zomea zomea  ya  kundi  la  vijana  waliovamia  msafara  wake  akiwa  njianI  kuelekea  Mbarali  na kuanza  kuimba wakidai  Lowassa  ndo  Rais  wao....Tazama  Video hii


Pamoja  na  kadhia  hiyo,Magufuli  alifanikiwa kufika  Mbarali  na  kuhutubia  maelfu  ya  wananchi  ambao  amewaahidi  kushughulikia  migogoro  yao  ya  muda  mrefu  ambayo  imekuwa  kete  ya  kuombea  kura  kwa  baadhi  ya  wanasiasa  wenye  uchu  wa  madaraka. Tazama Na Hii

Dr. Magufuli  leo  pia  amefanya  mikutano  kadhaa  ya  kampeni  mkoani  Iringa  ambako  alilazimika  kumalizia  viporo  hivyo vilivyokuwa  vimebaki  mkoani  humo

Written by : SportSiana - Describe about you

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Etiam id libero non erat fermentum varius eget at elit. Suspendisse vel mattis diam. Ut sed dui in lectus hendrerit interdum nec ac neque. Praesent a metus eget augue lacinia accumsan ullamcorper sit amet tellus.

Join Me On: Facebook | Twitter | Google Plus :: Thank you for visiting ! ::

Breaking News close button
Back to top