Home » » MKE W MTU ANANITAKA KIMAPENZI...ANALALAMIKA MMEWE HAMKUNI VIZURI bofya uone

MKE W MTU ANANITAKA KIMAPENZI...ANALALAMIKA MMEWE HAMKUNI VIZURI bofya uone


 Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara

Written by : SportSiana - Describe about you

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Etiam id libero non erat fermentum varius eget at elit. Suspendisse vel mattis diam. Ut sed dui in lectus hendrerit interdum nec ac neque. Praesent a metus eget augue lacinia accumsan ullamcorper sit amet tellus.

Join Me On: Facebook | Twitter | Google Plus :: Thank you for visiting ! ::

Breaking News close button
Back to top
:)
:(
=(
^_^
:D
=D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p